Posts

Showing posts from August, 2008

TAARIFA YA WAZIRI MKUU KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA BUNGE KATIKA MKATABA WA RICHMOND

TAARIFA YA WAZIRI MKUU, MHE. MIZENGO P. PINDA, (MB.), KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA BUNGE YA MKATABA BAINA YA TANESCO NA RICHMOND DEVELOPMENT COMPANY LLC28 AGOSTI 2008 UTANGULIZI: 1. Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa kifungu cha 37(1) cha Kanuni za Kudumu za Bunge (Toleo la 2007), naomba kuwasilisha Taarifa ya Serikali kuhusu Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge ya Mkataba baina ya TANESCO na Kampuni ya Richmond Development Company LLC. 2. Mheshimiwa Spika, Katika Mkutano wa Kumi wa Bunge tarehe 15 Februari 2008, Bunge lako Tukufu lilipitisha Maazimio 23 baada ya mjadala wa Taarifa ya Kamati Teule ya Bunge iliyoundwa mwezi Novemba 2007 ili kuchunguza mchakato wa Zabuni ulioipa ushindi Kampuni ya Richmond Development Company LLC wa kuzalisha umeme wa dharura Nchini mwaka 2006. Kwa kuzingatia uzito wa suala hili, wakati nilipotoa Hotuba yangu ya kuahirisha Mkutano wa Kumi wa Bunge nilieleza kuwa Serikali itaunda Timu ndogo ya Wataalam ili kuchambua kwa makini na kupendekeza namna ya kuteke

HAPPY BIRTHDAY AUGUSTUS.

Image
BIRTHDAY CAKE. 10th,August, 2008. BIRTHDAY PARTY VIDEOS. BIRTHDAY PARTY WAS HELD AT SAINTY QUAYS,8;UNIVERSITY QUAYS,LIGHTSHIP WAY,COLCHESTER-UK.

MY BIRTHDAY PART.

Image

NUKUU MUHIMU YA LEO

UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Katika kitabu hicho Nyerere alianza kuwatahadharisha viongozi walioko madarakani kwa maneno haya “ Kimya kimya msidhani ni ishara ya amani.” Kwa maneno hayo Mwalimu Nyerere aliwaonyesha viongozi kuwa Watanzania wanaonekana wakimya, lakini siku moja wanaweza kuvunja ukimya kama watachoka na uongozi mbovu. Ndiyo maana Mwalimu akakemea hoja ya utanganyika ambayo ilionekana kupitishwa na viongozi bila ridhaa ya wananchi. Hayati Nyerere aliona hatari ya kuwa na Serikali tatu ambazo alisema zingezaa Watanganyika, Wapemba na Wazanzibar. Akasema umoja ungeondoka na amani ingetoweka. Ndipo akasema CCM ilishaingiliwa na kansa ambayo ilihitaji kushughulikiwa. Katika kitabu chake cha Uongozi na hatima ya Tanzania aliandika “ ubovu wa uongozi ndani ya CCM ndio uliofanya nikapendekeza tuanzishe vyama vya upinzani.” anaendelea “Nilitumaini kuwa tunaweza kupata chama kingine kizuri ambacho kingeweza kuongoza nchi yetu badala ya CCM au ambacho kingeilazimisha CCM kus

LLM-SOKA

Image
Hatuko mbali sana na mchezo wa mpira wa miguu Hii ni timu ya LLM INTERNATIONAL TRADE LAW UNIVERSITY OF ESSEX,AMBAPO MIMI PIAM NI MCHEZA BEKI WA KUTUMAINIWA.